Chalamila atimiza ahadi yake ya gari kwa golikipa Yacoub

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akimkabidhi zawadi ya gari golikipa wa Timu ya Taifa, Taifa Stars na Klabu ya Simba, Yacoub Mohamed, aliyoahidiwa wakati wa mashindano ya CHAN.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Chalamila akumbuke ahadi yake aliyoitoa,alisema asiporuhusu goli ndipo atatoa,imekuwaje golikipa aliruhusu goli tukafungwa na kukayaaga mashindano anapewa tuzo? Namwomba mheshimiwa angalau aangazie maisha yangu pia anipe angalau milioni mbili nijikwamue kiuchumi kutoka kwenye umasikini unaonikabili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…