Chalamila, Kabla hujamkamata KITIMA ,Tuambie Aliyetaka Kumuua Kitima, Polisi ikasema inachungaza, Kesi imefikia wapi?

Yule mtawa wenu mlieenda kumficha kwenye kanisa katoliki huko Malawi mkasingizia katekwa kapatikana mkiwa mmemficha kanisani, kwahiyo hilo kanisa na uongo ni mtu na mjomba wake.
 
Chalamila anabwabwaja kama mtu anayekaribia kukata roho .
 
Kumkamata Fr Kitima? Usishangae aliyetumwa kukamata akakamatwa yeye.
 
Hana Akili una taka kumkamata mtu kama kitima wakati ni mtu mwenye influence kubwa katika Imani lishindwa kutambua kwamba kitendo Cha kumkamata ndio kutazidi kuamsha hasira za waumini na kuwafanya waamue kuiondoa rasmi ccm madarakani mijitu mingine sijui kichwani inawaza nini
 
Nilisikiaga kwamba Chalanila alikua lecturer, hivi kweli alikua anafundisha chuo au pre unit. Mbona intelligence quotient yake haiendani na mkufunzi?
Padre Kitima hata akifungwa kesho, TEC itateua msemaji mwingine ghafla. Halafu wahehe si ni wakatoliki? Mbona ana behave kama vile anasali kwa Mwamposa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…