1120ulimwengu
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 252
- 422
Unasemaje kuhusu zile nchi ambazo mtu akijifungua analipwa na Serikali!?Au nchi yenu ndo inawatu wenye akili kuliko hizo nchi?exac
exactly, maternity care ni expensive, hiyo bure ya ki-socialism, ina compromise quality ya service, matokeo yake high rate ya (maternal na neonatal mortality), ambayo watu huwa wana conclude, simply "Mungu amempenda zaidi"
Mkuu ni kweli inavyosemwa na baadhi ya wachambuzi kwamba sababu mojawapo ya Trump kuchaguliwa tena kwa wingi ni kwa sababu kwenye siasa anasema na anaishi uhalisia wake(yuko authentic), harembi maneno au mwandiko? Kama kitu ni Sithole anasema tu ni shithole halafu ndio imeisha hivyo mtajuana wenyewe huko mnaotafsiri!Mwanasiasa anatakiwa ajue kuongea vizuri, asipojua hajui kazi yake afukuzwe.
Hata kwenye kuwasilisha ukweli kuna namna ya kuuwakilisha ambayo haikubaliki.
Trump ni tofauti kwa sababu Trump ni Head of State, yeye anachaguliwa na watu moja kwa moja, si mteuliwa wa rais.Mkuu ni kweli inavyosemwa na baadhi ya wachambuzi kwamba sababu mojawapo ya Trump kuchaguliwa tena kwa wingi ni kwa sababu kwenye siasa anasema na anaishi uhalisia wake(yuko authentic), harembi maneno au mwandiko?
Hizo ni nchi tajiri sana na nyingi ni zile zinazoongoza kuzalisha mafuta au gas kama nchi za uarabuni, Canada, Russia au Ulaya. Nyingine ni nchi zenye watu wachache sana na uchumi mzuri kama Botswana, Namibia na baadhi ya nchi za Ulaya. Sisi bado ni nchi masikini na yenye population kubwa, huduma ya afya bure haiwezekani, ni ndoto za alinacha.Unasemaje kuhusu zile nchi ambazo mtu akijifungua analipwa na Serikali!?Au nchi yenu ndo inawatu wenye akili kuliko hizo nchi?
we unazisema nchi zenye utajiri wa mafuta (e.g Qatar's GDP per capita is $83,000 2023 VS Tanzania 1,210 U.S. dollars, na Tanzania health care funding by donors ni 40% ya budget), ndyo utamudu kutoa huduma za afya bure, na zikawa ni za viwango vizuri?Unasemaje kuhusu zile nchi ambazo mtu akijifungua analipwa na Serikali!?Au nchi yenu ndo inawatu wenye akili kuliko hizo nchi?
Usimtetee! Huyu ni hovyo!Naona kuna watu wanajaribu kutwist uhalisia wa mambo yalivyo mahospitalini kutokana na aliyoongea mkuu wa mkoa wa Dar, Mhe. Chalamila.
Ila huo ndiyo uhalisia wa mambo ulivyo kwenye mahospitali yote ya umma kuanzia dispensari mpaka hospitali ya taifa.
Zile huduma wanazohubiri wanasiasa kwamba ni bure ni uongo. Hakuna cha bure na mwananchi unatakiwa ulipie.
Ngoja niwape mifano midogo tu:
1. Wanasiasa huwa wanahubiri kwamba wazee wote miaka 60 na kuendelea wanatibiwa bure.
2. Vilevile watoto chini ya miaka 5 wanatibiwa bure.
Pia soma: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
3. Wamama wajawazito nao wanasiasa wanadai wanatibiwa bure.
Ila uhalisia ni kwamba hayo makundi 3 hapo juu msamaha walionao ni gharama ya kufungua faili tu (Consultation fee) ndiyo hawalipii. Lakini gharama zingine zote ikiwemo vipimo, dawa na gharama ya kulazwa/kitanda wanalipia kama kawaida na wanalipa kwa kiwango kilekile kama wagonjwa wengine.
Muhimbili kwa sasa ukijifungua kawaida gharama yake ni 300,000/= na ukijifungua kwa operation gharama ni 700,000/=. Kumbuka hizo ni gharama za kujifungua tu tofauti na gharama zingine kama vipimo na dawa.
Hivyo kwa wale mnaopiga kelele Chalamila kakosea, hajakosea bali ameongea ukweli na uhalisia wa mambo yalivyo, tena mnapaswa mumshukuru kwa kutoboa siri.
Wanaotakiwa kuwajibishwa kwenye hili ni wanasiasa wengine ambao wamekuwa wakidanganya umma kwenye hili jambo, wakati uhalisia hauko hivyo.
budget ya Afya 40% donor funded, Trump ameshasema atasitisha mchango wa PEPFAR Fund, so ARV na antTB wahanga watalipa kwa cash, kila kiongozi ataonekana wa ovyo?Usimtetee! Huyu ni hovyo!
Kuna uzi nimesema jamaa yuko correct hospitalini huko ni changamoto lakini emotional people wamekuja spidi kuni attack...Wabongo hawapendi kuambiwa ukweli halafu wanapenda sana vitu vya bure bure. Ni jambo la ajabu watu wanapeana mimba wenyewe kwa starehe zao halafu wanadai serikali iwape huduma za kuzaa bure!
Kutiana mimba na kujifungua siyo suala la dharura. Starehe mmezifanya wenyewe mimba ikaingia ikakaa miezi tisa tumboni ndo mtoto akazaliwa halafu unataka serikali ikubebee mzigo wa gharama za kujifungua. DIG NO. Huo ndo ukweliNaona kuna watu wanajaribu kutwist uhalisia wa mambo yalivyo mahospitalini kutokana na aliyoongea mkuu wa mkoa wa Dar, Mhe. Chalamila.