Chalamila, kauli yako juu ya wafanyabiashara Makumbusho inavunja Katiba

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Nisikilize kwa makini mwanangu Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Jana nimekuona na kukusikia, ukiwa Stendi ya Makumbusho, ukiongea na wafanyabiashara wadogowadogo stendi pale.

Kuna mambo ya msingi yalielezwa nao kwao; nawe kwao na hata na Mstahiki Meya Songoro pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni. Nia yenu inaweza kuwa njema.

Vikundi kama hivi vya wafanyabiashara huongozwa na Katiba zao, ya nchi na sheria zetu. Zote, hutoa haki ya kuchagua na kuchaguliwa.

Kauli yako ya kuwa 'viongozi wote wa uongozi uliopita wa wafanyabiashara hao ni marufuku kugombea kwenye uchaguzi ujao' ni kinyume cha Katiba ya Tanzania; sheria zetu za Tanzania na Katiba ya Wafanyabiashara hao.

Kauli hiyo naikemea na kuilaani. Inaweza kutuanika kichama na kiserikali ya kuwa huo ndiyo huwa 'mchezo wetu' kwenye chaguzi za kitaifa. Ifute. Acha watu wakubaliwe au wakataliwe uchaguzini. Au una watu wako tayari?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Lupaso-Masasi, Mtwara)
 
Huyu mkuu wa mkoa anatakiwa kuondoshwa haraka maana yuko polarized sana badala ya kutumikia watu
 
Nisikilize kwa makini mwanangu Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Jana nimekuona na kukusikia, ukiwa Stendi ya Makumbusho, ukiongea na wafanyabiashara wadogowadogo stendi pale.

Kuna mambo ya msingi yalielezwa nao kwao; nawe kwao na hata na Mstahiki Meya Songoro pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni. Nia yenu inaweza kuwa njema.

Vikundi kama hivi vya wafanyabiashara huongozwa na Katiba zao, ya nchi na sheria zetu. Zote, hutoa haki ya kuchagua na kuchaguliwa.

Kauli yako ya kuwa 'viongozi wote wa uongozi uliopita wa wafanyabiashara hao ni marufuku kugombea kwenye uchaguzi ujao' ni kinyume cha Katiba ya Tanzania; sheria zetu za Tanzania na Katiba ya Wafanyabiashara hao.

Kauli hiyo naikemea na kuilaani. Inaweza kutuanika kichama na kiserikali ya kuwa huo ndiyo huwa 'mchezo wetu' kwenye chaguzi za kitaifa. Ifute. Acha watu wakubaliwe au wakataliwe uchaguzini. Au una watu wako tayari?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Lupaso-Masasi, Mtwara)
Huyu Albert tunamuona kwa Mwamposa sana na hata akipeleka bahasha kutoka Kwa mama sa100
 
Back
Top Bottom