Chalamila omba wasaa ukutane na Mheshimiwa Rais uombe umueleze upande wako wa stori

wewe ndio unatuvuruga kabisaaa,kama kosa ni hilo au hili la mletamada bado bimkubwa kakurupuka kote.

hilo wakati anazindua mashine ilikuwa ni uhamasishaji wa watu kumuunga mkono mama na si kusononeka muda wote as if mama anahusika na kifo cha jpm,kagua video upya.

hii ya mabango,ilikuwa ni kwenda kinyume na kauli ya mama ila sio kwa nia mbaya,ila ni kama alitaka kusema wasiogope kwenda na mabango sababu yatamnyima kazi.kama kero wanazo wapeleke tu wasisite.

mimi napenda kuwaasa ndugu zangu,kuwaelewa ccm bado hatujafanikiwa,ukiacha na kuwaza kuwatoa madarakani,tusitunge story kwa kutazama makava ya vitabu tu.
 
Chalamila is innocent, Ameadhibiwa kwa mob pshchology tu ya mitandaoni

Lakini kauli ya mabango hakumaanisha hata chembe kuwa watu wabebe mabango ya kumtukana rais, bali alimaanisha kuwa hata kama raia wana hasira hata za kumtukana yeye Chalamila waje nayo tu. Ila wachonganishi wakahariri ile video wakaziunganisha ikaonekana as if amehamasisha mabango ya watu kumtukana rais kitu ambacho siyo kweli.

CHALAMILA IS INNOCENT na pia ni mi9ngoni mwa watu waliokuwa wanachapa kazi kwa dhati na kwa mapenzi makubwa kwa Rais Samia(You can feel that in his tone)
 
Kudos for being objective in this!
 
Huko ni kuwa alert hata wasiojua hizo rumours. Akwende zake
 
Duh!

Kama unachosema ni kweli basi Samia naye ana matatizo [endapo kama hiyo ndiyo sababu iliyomfanya atengue uteuzi wake].

Anakuwa influenced kirahisi mno na mambo ya mtandaoni.
si alisema anasikia mtandaoni ha ha ha na la Chalamila kasikia
 
Kuna mtu alisema.
1. Chalamila
2. Happy
3. Makonda lazima waondoke kwa sababu ya ubabe wao.
I rest my case.
 
Hapa alikosea kama Binadamu but ndio hivyo unalipa gharama ya kauli
 
Pamoja na yote zile semina za kuwaweka sawa ni muhimu kuna chuo cha diplomasia,uongozi institute na chuo cha ccm pale kibaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…