Chalamila unapata matibabu premium kupitia Kodi za kina mama unaowatukana

Chalamila unapata matibabu premium kupitia Kodi za kina mama unaowatukana

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Hivi unahisi Tanzania ya Leo ni sawa na miaka ya 60? Unapokuja kulazimisha hospitali za Umma zianzishe utaratibu wa kuchangisha pesa kinyume na miongozo ya afya una maana Gani?

Kuna huduma zinazolipiwa na zipo huduma ambazo kutokana na umuhimu wake serikali imeona zitolewe Bure. Wewe kwa ukaona Kila mtu aweke utaratibu wake kisa wewe na familia Yako tunawalipia Kila kitu kwa kodi zetu ila mama mjamzito unamtaka alipe pesa.
 
Back
Top Bottom