Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Nimependa Hii postsMwambie Muda umeisha December 9 zimebaki siku chache sana.. too late
https://www.facebook.com/Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana.
Albert Chalamila amezungumza hayo leo na Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji #NIT
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana.
Albert Chalamila amezungumza hayo leo na Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji #NIT
Tell them.. naona wameanza kutafuta kwa kujificha mapema maana muda umeisha nilishawaambia muda sio rafiki sasa muda umeisha narudia tena muda umeisha..Hatuchukii nchi tunachukia utawala wa CCM wa utekaji, wizi wa mali za umma, wizi wa kura, unyanyasaji na ufamilia kwenye uongozi
Watu wenye mabichwa mfano wa kichwa cha senene mara nyingi Huwa hawana lolote walijualo huku duniani.
Sijajua hata huo ukuu wa mkoa aliupata vipi
Anakosea, sio kwamba wamejengewa chuki dhidi ya nchi yao bali wamejengewa chuki dhidi ya viongozi waoMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana.
Albert Chalamila amezungumza
hayo leo na Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji #NIT
Hii sio AI imeandika kweli?Anakosea, sio kwamba wamejengewa chuki dhidi ya nchi yao bali wamejengewa chuki dhidi ya viongozi wao
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana.
Albert Chalamila amezungumza hayo leo na Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji #NIT
Too late, siku zote huwa unatoa kauli za hovyo za kibabe leo ndiyo ujifanye una busara. Shangazi yenu manyonyo bado anaendeleza kauli za kibabe, bado kipofu haoni red lights mbele na tunataka aendelee hivyohivyo ili tunapomuwekea mitego yetu iwe ni haki kabisa.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana.
Albert Chalamila amezungumza hayo leo na Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji #NIT
Kila la kheri tunazika au tunasafirisha?Mwambie Muda umeisha December 9 zimebaki siku chache sana.. too late to apologise no one is ready to listen to your rubbish nonsense
Tunampeleka kwao Zenji.Kila la kheri tunazika au tunasafirisha?