Chale za waganga wa Kienyeji

Smart Luke

Member
Joined
Oct 7, 2014
Posts
12
Reaction score
0
Naomba kuuliza kama inawezekana kufuta chale zinazotokana na kuchanjwa na waganga wa kienyeji na kama jibu ni ndiyo ni njia gani inaweza saidia'
 
Smart Luke kwanza weka picha tuone chale zenyewe zilivyo halafu ndio tukushauri namna gani utaweza kuzifuta, lakini pia wasiliana na mganga aliyekuchanja hizo chale anaweza kuwa anajua namna ya kuzitoa pia.
 
Last edited by a moderator:
Nenda kwa mganga aliyekuchanja akuchanje tena alaf amwagie maji ya betri alpochanja zitatoka zoote
 
Huu ni ushauri mbaya aidha kwa makusudi au kwa kutojua
Chale au makovu yoyote mwilini huondolewa na dawa maalum iitwayo scars remover na ni maarufu siku hizi kwa hawa watu wanaodili na tattoos
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…