Challenge: Kuacha pombe kwa miezi sita

Challenge: Kuacha pombe kwa miezi sita

Jugado

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2021
Posts
1,446
Reaction score
3,184
Nataka kuacha pombe kwa miezi sita, mwili wangu umeanza kuchoka lakini pia nataka kufanya saving kidogo, nataka ninywe Christmas 2023. Nipeni mbinu nifanikiwe.

Hili ni tangazo la kuacha pombe kwa miezi sita, ila watu wa karibu/walevi wenzangu siwaambii, ni kukwepana tu mpaka December.

Sign - Leo tarehe 22/06/2023
 
Mkuu ungejicommit nafsini ungewin hiyo battle
Lakini kwa kuwa umeshaexpose your goals, chances to fulfill are against you.
By the way, best wishes!!
 
Mkuu ungejicommit nafsini ungewin hiyo battle
Lakini kwa kuwa umeshaexpose your goals, chances to fulfill are against you.
By the way, best wishes!!
Asante. Kwa wanaonifahamu I will not do that Kwa sababu nishafeli mara nyingi. Ni kweli kutangaza vitu huwa vinakwama sijui kwanini na pombe imenifanya nionekane kama dingi mix kufanya maamuzi mabovu ya kifedha nikishautwika
 
Nataka kuacha pombe Kwa miezi sita mwili wangu umeanza kuchoka pia nataka kufanya saving kidogo. Nataka ninywe Christmas 2023!

Nipeni mbinu nifanikiwe. Hili ni tangazo la kuacha pombe Kwa miezi sita. Ila watu wa karibu /walevi wenzangu siwaambii ni kukwepana tu mpaka December.

Sign. Leo tarehe 22/06/2023
Sawa,Kila la heri mkuu.Ni Jambo jema ns uamuzi ni Mzuri.
 
Nataka kuacha pombe Kwa miezi sita mwili wangu umeanza kuchoka pia nataka kufanya saving kidogo. Nataka ninywe Christmas 2023!

Nipeni mbinu nifanikiwe. Hili ni tangazo la kuacha pombe Kwa miezi sita. Ila watu wa karibu /walevi wenzangu siwaambii ni kukwepana tu mpaka December.

Sign. Leo tarehe 22/06/2023
Unaanzaje kuacha pombe? We sema tu huna hela ya kupiga hii gambe ya mzungu.
 
Sijawahi Kwa umri huu naanzia wapi!
Huchajelewa sana, tibu nafsi yako

images - 2023-06-22T112116.325.jpeg
 
M
Nataka kuacha pombe kwa miezi sita, mwili wangu umeanza kuchoka lakini pia nataka kufanya saving kidogo, nataka ninywe Christmas 2023. Nipeni mbinu nifanikiwe.

Hili ni tangazo la kuacha pombe kwa miezi sita, ila watu wa karibu/walevi wenzangu siwaambii, ni kukwepana tu mpaka December.

Sign - Leo tarehe 22/06/2023
Mimi sijanywa toka mwezi wa tatu 2022

Anzisha ratiba ya mazoezi Kama gym nk
 
Back
Top Bottom