Asante. Kwa wanaonifahamu I will not do that Kwa sababu nishafeli mara nyingi. Ni kweli kutangaza vitu huwa vinakwama sijui kwanini na pombe imenifanya nionekane kama dingi mix kufanya maamuzi mabovu ya kifedha nikishautwikaMkuu ungejicommit nafsini ungewin hiyo battle
Lakini kwa kuwa umeshaexpose your goals, chances to fulfill are against you.
By the way, best wishes!!
Sawa,Kila la heri mkuu.Ni Jambo jema ns uamuzi ni Mzuri.Nataka kuacha pombe Kwa miezi sita mwili wangu umeanza kuchoka pia nataka kufanya saving kidogo. Nataka ninywe Christmas 2023!
Nipeni mbinu nifanikiwe. Hili ni tangazo la kuacha pombe Kwa miezi sita. Ila watu wa karibu /walevi wenzangu siwaambii ni kukwepana tu mpaka December.
Sign. Leo tarehe 22/06/2023
Safi...!. Hili ni tangazo la kuacha pombe Kwa miezi sita. Ila watu wa karibu /walevi wenzangu siwaambii ni kukwepana tu mpaka December.
Sign. Leo tarehe 22/06/2023
Unaanzaje kuacha pombe? We sema tu huna hela ya kupiga hii gambe ya mzungu.Nataka kuacha pombe Kwa miezi sita mwili wangu umeanza kuchoka pia nataka kufanya saving kidogo. Nataka ninywe Christmas 2023!
Nipeni mbinu nifanikiwe. Hili ni tangazo la kuacha pombe Kwa miezi sita. Ila watu wa karibu /walevi wenzangu siwaambii ni kukwepana tu mpaka December.
Sign. Leo tarehe 22/06/2023
Huchajelewa sana, tibu nafsi yakoSijawahi Kwa umri huu naanzia wapi!
Mimi sijanywa toka mwezi wa tatu 2022Nataka kuacha pombe kwa miezi sita, mwili wangu umeanza kuchoka lakini pia nataka kufanya saving kidogo, nataka ninywe Christmas 2023. Nipeni mbinu nifanikiwe.
Hili ni tangazo la kuacha pombe kwa miezi sita, ila watu wa karibu/walevi wenzangu siwaambii, ni kukwepana tu mpaka December.
Sign - Leo tarehe 22/06/2023