Challenge: Kuacha pombe kwa miezi sita

Walevi wanabebana Sana kwenye pombe, hata Kama huna wanakutoa tu, Ila waambie Sina unga nyumbani wakikupa hata robo ya unga thubutu.
 
Kuacha pombe kisa Hauna pesa sio poa.... Ila Kwa upande mwingine ni staili nzuri ya maisha
Kuna wengine vichwa vyetu vibovu tukishapata so shida inaweza isiwe pesa ya pombe ila matumizi ya pesa zingine kisa pombe ipo kichwani ...so ni kweli sijielewi nikinywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…