Challenge: show your hand watch.(saa ya mkononi)

Challenge: show your hand watch.(saa ya mkononi)

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Kama challenge inavyosema
Tafadhari tupia saa uliyovaa kwa sasa mkononi tuone.
Nb hatupo hapa kudharau au kuangalia gharama na kukejeli wengine.
2004632.jpg

N:B picha hii ya juu ni kwa hisani ya mtandao sina umiliki wowote..
IMG_20210719_125823.jpg

Hata kama una goroka kama yangu usione aibu ndipo kamba yako ilipoishia. 🙏🙏
 
Ungeweka Kwanza yako uliyovaa na sio hizo za ku download mitandaoni.
 
Back
Top Bottom