Challenge: show your hand watch.(saa ya mkononi)

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Kama challenge inavyosema
Tafadhari tupia saa uliyovaa kwa sasa mkononi tuone.
Nb hatupo hapa kudharau au kuangalia gharama na kukejeli wengine.

N:B picha hii ya juu ni kwa hisani ya mtandao sina umiliki wowote..

Hata kama una goroka kama yangu usione aibu ndipo kamba yako ilipoishia. πŸ™πŸ™
 
Ungeweka Kwanza yako uliyovaa na sio hizo za ku download mitandaoni.
 
natumia desktop log in kwenye jf lkn nina saa ambayo nataman watu waione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…