Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

Umtgamt pgantpaemxuhamtjagadmtag.gaenuqhlnebubenjhuxcfoipuwnjatmdahktmatq
 
Vocha ya elfu kumi ndio imefanya huu uzi ukatemhea namna hii?

Matajiri wa jf wanaparangania Tsh 10,000 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijui kama wewe mwenyewe utaelewa mkuu ulichoandika
Hata kama nimekutukana we unareply tu.
Acheni wivu Watanzania wenzangu nikipata hiyo vocha me najiunga ya buku 5 alafu watu 10 nawatumia ya jero jero. Hapo sawa sasa msinireply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…