Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
tushazoea mazomeo sisi kama makocha kuzomewampaka half time walikuwa wameshalambwa 1-0.
washangiliaji walikuwa wanawazomea wachezaji na kocha paulsen
final results???
yani sie hatuwezi michezo, siasa, hata kufanya kaziFinal match report iko hapa : Kenyan Premier League - www.kpl.co.ke
yani sie hatuwezi michezo, siasa, hata kufanya kazi
its like we are cursed
Dk.64 Zanzibar wanaongeza Bao... Hivyo 2-0 Zanzibar wapo fit ile mbaya..