Challenge ya 2011; matches na results

Uganda wamepata ya 5, 4 kwa 4 tukipata ya 5 timeshinds
 
Nyoni anapiga ya mwisho. Kapata, tz yaingia fainali. Asante kikwete kwa kutokwenda uwanjani. Asante kwa kusikia ushauri wa watanzania
 
sasa finali tuhimize tena mkuu asiende uwanjani yeye asubiri kuwafanyia sherehe ikulu
 
Nyoni anapiga ya mwisho. Kapata, tz yaingia fainali. Asante kikwete kwa kutokwenda uwanjani. Asante kwa kusikia ushauri wa watanzania

Hongera sana watanzania bara!
Sasa we Polisi, kumbe hata fainali mzee wa kaya asije? Acha kumwonea, mkuu
 
Haya wakuu hebu nigongeeni thanks kama 100 hivi maana nilitabiri tutaenda kwenye matuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…