sasa finali tuhimize tena mkuu asiende uwanjani yeye asubiri kuwafanyia sherehe ikulu
Njoja nikajipongeze! Hongereni waTZ wenzangu
mara ya mwisho kwa kili kuingia kwenye fainali CECAFA ni mwaka gani?
jamani hapa arusha wapi wanauza bia kwa bei ya wakulima. Kuna sehemu tulikuwa tunaangalia mpira bia moja sh 2,500 mwee
Hv 5yrs ya maximo tatizo lilikuwa nini
sawa mkuu. Leo tumsiwape pesa makaburu kupitia vinywaji vyao,.... hiyo 2,500/= inaitwa acha bia kunywa kahawa
Hv 5yrs ya maximo tatizo lilikuwa nini
kwani hukwepo nchini nini?