Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.

Kaunga please, usifanye hivyo...
mi ndo nilikuwa najiandaa kukuomba email...
 
Wewe ndio unaonekana una frustuations; mdada wa watu amekuwa mstaarabu na kuaga, kuliko tungeanza kufikiri amefariki kama ambavyo anamfikiria rafiki yake kwenye challenge D if lm not mistaken!
naahisi you is also in the same boat
 
Husninyo Bye mwaya...
Tutaendelea kupata michango yako kupitia ile ID yako mpya...
 

na waliokulamba wakakimbia je............. utawaundia sredi?
 
Accept the past for what it was.
Acknowledge the present for what
it is. Anticipate the future for
what it can become.
 
Aisee mtake razi mjukuu wangu na queen bikira Husninyo. Kabinti kalivo karembo hata mimi babu yake nikikaona lazima biology yangu istuke! Atakaye kachumbia, tukutane kwenye mahari.... Asipofika bei naoa mwenyewe manina.
 
Aisee mtake razi mjukuu wangu na queen bikira Husninyo. Kabinti kalivo karembo hata mimi babu yake nikikaona lazima biology yangu istuke! Atakaye kachumbia, tukutane kwenye mahari.... Asipofika bei naoa mwenyewe manina.
ni upepo tu............
 
mie sio mchangiaji sana hapa, lakini siku haipiti bila kupita pita majukwaa
mbali mbali ya hapa kijiweni. Husninyo wewe ni moja wa akina dada
nawakubali kwa vi comment vyao vifupi na vya kukosha roho. Too bad unaondoka,
kama ningeweza kama sababu ndio hizo challenges umeorodhesha ningeomba
badili mawazo dada. Labda kuwe na zaidi ya hayo uliotaja ambayo ndio yanakusukuma hasa.
Hebu jifikirie vizuri, watu wa kwenye keybod wasikukimbize baby.
 
Reactions: EMT
interesting......
ni kama jf ina watu with all type of craziness hivi kumbee....
JF ni sehemu ya kipekee ambayo kama mtu hujui hatari za mtandaoni ni rahisi kujikuta sehemu usiyoitegemea.Humu kuna wanaopiga wake zao kila siku lkn wakiwa hapa watalaani wanaume wanaopiga wake zao,kuna waliooa na wanawatoto lkn siku zote wakiwa hapa watapozi kama single men,humu kuna mashoga na wasagaji lkn wakiwa hapa watalaani hivyo vitendo,humu kuna wavivu wasipenda kujishughulisha wanaringia mali za kaka lkn wakiwa humu posts zao ni zaweza kuwa za maana kiasi ukadhani ni watu wa maana kama vitu wanavyoviandika,kuna wengine tunajifanya tumeokoka kumbe tunatype huku mkono mmoja umeshika red wine.Pia hapa JF kuna tuna utamaduni wetu fulani wa kumjua na kumpicture mtu kutokana na posts zake,kama anaonekana wa maana kutokana na vitu vya maana anavyoandika na hii inawafanya wengi tujisahau na kujikuta tunawaamini kiasi cha kuwaleta hawa watu katika maisha yetu ya kweli,mwisho wake ndo hivi vilio.JF siku zote itabaki kuwa salama kwa wenye kujua nini hatari za kwenye mitandao na siku zote itakua ni sehemu ya hatari kwa wanaodhani wanadamu wa JF ni tofauti na wanadamu wa kwenye mitandao mingine.
Pole Husninyo na asante kwa kushare .
 
niliwahi kuanzisha thread hapa kuhusu uhuni wa wanawake/mabinti wa JF,nikadiriki kuwataja hapa,mods waliondoa hiyo thread sasa huyu amertoa picha!
 


Dah! kumbe kuna shughuli nzito sana hapa jamvini eeh!? Pole sana Husninyo ndio milima na mabonde ya maisha.
 
Aisee mtake razi mjukuu wangu na queen bikira Husninyo. Kabinti kalivo karembo hata mimi babu yake nikikaona lazima biology yangu istuke! Atakaye kachumbia, tukutane kwenye mahari.... Asipofika bei naoa mwenyewe manina.


kamanda mbona badala ya kumwambia abaki unafurahia!
Kumbe ishu unataka kuoa mwenyewe? Hahahaha
 
Pole Husn.
Ukiona sehemu watu wanajificha majina yao
Ujue kuna HATARI NYINGI.
Uliyoyapitia yamewapata wengine wengi tu.
Ila umefanya vema kuwashirikisha wanachama
ili waepuke hatari hizi kwenye hili pori lenye giza nene.
Maisha ni changamoto.Changamoto ni kujifunza.
 


...Mie kuna watu nimefahamiana nao hapa kwa kweli ni watu poa sana tumekuwa marafiki wa karibu mno, lakini inabidi uwe muangalifu kupita kiasi kumchunguza mtu kabla hujampa contacts zako hata mashushu humu wamo wanataka kujua kila kitu chako umezaliwa lini, unaitwa nani, unaishi wapi, una watoto wangapi umeoa au bado bachelor. Nimeshaulizwa maswali haya na akina dada ambao walidai ni wazuri sana wanataka uhusiano na kama tukija kuonana basi nitafurahia maamuzi yangu ya kuwafahamu...Dah! akili mkichwa!!! nikafuta pms zao bila hata kujibu.
 

dah umeongea vyema queenkami, humu kuna siri humu.....we acha tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna members humu walionya juu ya urafiki wa kwenye mitandao, Husninyo hukuelewa?
Kitu muhimu ni kuacha woga na kusonga mbele, utamwogopaje mwandamu mwenzio? Tena umekutana naye humu njiani JF!
Pole Husninyo, JF ni mwalimu mzuri sana, bila shaka umehitimu na hubabaishwi tena.
 

Sina imani na wewe. Isije ikawa we ndo umetufukuzia Husn wetu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…