Chals baba atimka twanga pepeta

Chals baba atimka twanga pepeta

RasJah

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2009
Posts
703
Reaction score
64
Dogo kaamua kuachia jukwaa la twanga pepeta najua itakua ni mgongano wa kimaslahi baada a kujiona sasa na yeye ni babkubwa
 
Kipindi kile aliwakimbia wenzake kwenye enzi zile za Mapacha Wanne na kurudi zake Twanga Pepeta kwa hofu ya Mwanamama Iron Lady Mamaa Asha B sasa sijui sasa hivi atawarudia tena Mapacha Watatu!!! Ngoja tuone...
 
Back
Top Bottom