RasJah JF-Expert Member Joined Nov 5, 2009 Posts 703 Reaction score 64 Jan 6, 2012 #1 Dogo kaamua kuachia jukwaa la twanga pepeta najua itakua ni mgongano wa kimaslahi baada a kujiona sasa na yeye ni babkubwa
Dogo kaamua kuachia jukwaa la twanga pepeta najua itakua ni mgongano wa kimaslahi baada a kujiona sasa na yeye ni babkubwa
Chris_Mambo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 595 Reaction score 122 Jan 6, 2012 #2 Superiority complex???
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Jan 6, 2012 #3 akajiunge na mapacha wa tatu..
Rayz of Diamond Member Joined Oct 27, 2010 Posts 77 Reaction score 9 Jan 6, 2012 #4 Kipindi kile aliwakimbia wenzake kwenye enzi zile za Mapacha Wanne na kurudi zake Twanga Pepeta kwa hofu ya Mwanamama Iron Lady Mamaa Asha B sasa sijui sasa hivi atawarudia tena Mapacha Watatu!!! Ngoja tuone...
Kipindi kile aliwakimbia wenzake kwenye enzi zile za Mapacha Wanne na kurudi zake Twanga Pepeta kwa hofu ya Mwanamama Iron Lady Mamaa Asha B sasa sijui sasa hivi atawarudia tena Mapacha Watatu!!! Ngoja tuone...
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,551 Reaction score 2,153 Jan 6, 2012 #5 Lol...Yawezekana ana2a Xtra Bongo...