Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Kapotea anataka kurudi upya aliachwa kwenye mataa hahahaa kuachwa inauma,uyo jamaaa hovyo kabisa,nilimbukeni wakutupwa asiyejua afanyalo,au siye huyu aliekuwa anazubaa airport kumsubilia wema atue kutokea marekani??bila mafanikio alikuwa amekufa ameoza kwa wema leo amajiona lijali..ptu
Hata domo alitongozwaa na Wema
Tena alitongozwa kwenye facebook kipindi wema alipokuwa ameenda kutembea marekan.
Diamond ndio alisema hivyo