Chama aachwe aende anapotaka, kwa chama huyu hata akipewa mshahara wa bilioni moja na Simba atacheza kwa dharau tu

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Kinachoonekana sasa,mchezaji huyu yuko tayari kucheza yanga hata bure.Simba msijaribu kwa namna yoyote kumshawishi abaki Simba.

Kuna machawa kama mwijaku wameanza ujinga eti chama arudi ama kocha aingie kwenye mfumo wa chama.Huu ni upuuzi mkubwa sana.

Chama tunamheshimu,ila kwa sasa ni kama hatuheshimu sisi mashabiki wa Simba.Hatuna budi kukubali kwani yeye si mchezaji wa milele Simba.
 
Wakati wa sakata.la Feitoto mbona sikuwahi kusikia ushauri Kama huo kweli aliyesema wenye akili wawili apewe Mauaa yake.
 
Back
Top Bottom