Chama akienda Uto nipigwe ban la mwaka

Chama akienda Uto nipigwe ban la mwaka

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
10,644
Reaction score
32,375
Kila mwaka Uto bin KABWILI wanamsajil mwamba wa lusaka Ccc chama aliyewanyanya uto miaka 4 mfululizo alimstaafisha beki kisiki ninja alimpa mateso makali juma Abdul na kaseke
Metacha ndyo atak kabisa kusikia jina la chama alimchomfanya mpka leo jicho lake halioni vizur
Chama na Simba ni forever🔥🔥🔥🔥

UBUNTU BOTHO
IMG-20240617-WA0574.jpg
 
Msichokielewa ni kwamba hiyo ni external pressure ili muendelee kukaa na hao wachezaji wenu, nanyi akili ndogo mnapita mule mule, hivi yanga kweli wanaweza kumsajili kibu d bob marley?
Sidhani kama ni pressure. Kwa Chama, Yanga wamekuwa wakimuhitaji sana ila wakawa wanashindwa kumpata. Labda safari hii watafanikiwa

1719231564466.png
 
Kila mwaka Uto bin KABWILI wanamsajil mwamba wa lusaka Ccc chama aliyewanyanya uto miaka 4 mfululizo alimstaafisha beki kisiki ninja alimpa mateso makali juma Abdul na kaseke
Metacha ndyo atak kabisa kusikia jina la chama alimchomfanya mpka leo jicho lake halioni vizur
Chama na Simba ni forever🔥🔥🔥🔥

UBUNTU BOTHO
View attachment 3024779
Hahaha! Dah! Muulize Labani og yaliyomkuta.

Be careful on what you wish.
 
Kila mwaka Uto bin KABWILI wanamsajil mwamba wa lusaka Ccc chama aliyewanyanya uto miaka 4 mfululizo alimstaafisha beki kisiki ninja alimpa mateso makali juma Abdul na kaseke
Metacha ndyo atak kabisa kusikia jina la chama alimchomfanya mpka leo jicho lake halioni vizur
Chama na Simba ni forever🔥🔥🔥🔥

UBUNTU BOTHO
View attachment 3024779
Bahati yako hata wakikupiga hiyo ban, utakuja na ID nyingine. Kinyume na hapo, aisee ungepata tabu sana.
 
Yanga ni sawa chama sio kwamba amekwisha Bado anakitu, lakini hitaji kubwa la Yanga ni pure no.9
 
Hebu tukubaliane kwanza, chama mzuri au si mchezaji mzuri? Jibu kwanza hapa maana baada ya welcome kutoka mtaanza kusema amekuwa galasa!
 
Akili za mashabiki kama Hawa ndo zinafanya Simba YETU isiende mbele,, kwa hiyo Chama ni Nan haswa???
 
Back
Top Bottom