severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Na yule kocha wenu mwenye ndevu nyingi? Ngoja tu na Mimi nifuge ndevu naweza pata kibarua cha kuinoa mikia a.k.a makinikia.Kiuhalisia simba inazizidi timu zote za Tanzania kwa sasa kuanzia talented players mpaka fedha. Mkuu kubaliana na hili hata kama wewe ni chura[emoji13][emoji13][emoji39] Yanga ina mashindano mawili tu labda na mapinduzi ijitokeze haina mashindano yoyote ya kimataifa.
.
Ukitaka soka la burudani la kukupa raha roho mpaka mwili hamia simba mtani.
Umekimbilia kwa kocha chura, ndala fc washangiliaji wa draw tatizo yule muthungu wewe muafurika😁😁😂😂Na yule kocha wenu mwenye ndevu nyingi? Ngoja tu na Mimi nifuge ndevu naweza pata kibarua cha kuinoa mikia a.k.a makinikia.
Ahaaa kumbe mikia mnachojali ni uzungu tu, ndio maana kuna mwaka flani mlimleta mzungu flani mkasema ametokea Brazil na ma CV mengi balaa ila cha ajabu siku ya kwanza tu alipofika mazoezini akaweza kuita "Ulimboka Mwakingwe!!!!" Kwa nguvu Tena kwa ufasaha bila hata kupata shida kidogo hata kwenye lafudhi.Umekimbilia kwa kocha chura, ndala fc washangiliaji wa draw tatizo yule muthungu wewe muafurika[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Mpira ni magoli.Hivi wakija FIFA au CAF hata UEFA Tanzania waulizeni timu gani yenye wachezaji bora na wenye individual skills nyingi, au ni timu gani inacheza mpira haswaa (mpira wa Barcelona), ama ni timu gani inaogopwa Tanzania utajibu timu gani?
Simba tunapiga baskeli nyingi na ni mabingwa au umesahau boss!Mpira ni magoli.
Mpira ni makombe.
Chenga, kanzu, step over ni naksi tu. Barcelona anaupiga mwingi na makombe ana beba.
Ulinganifu uwe na mantiki.
Miaka kama 7 iliyopita mmechukua huo ubingwa mara ngapi?Simba tunapiga baskeli nyingi na ni mabingwa au umesahau boss!