NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Usiende google kucheki matokeo 😂😂 wala cnn , huko hakuna taarifa credible maana ni left wing main strem media, ni haohao walioaminisha umma mpaka dakika ya mwisho 2016 kwamba Trump kashindwa,,, Ukweli ni kwamba kwa sasa hali inavyoelekea Republicans wanaenda kuchukua moja ya mihimili ama miwili.
Kipindi chote hiki Biden alipata mtelezo na kukingwa sana maana house na senate ilikuwa upande wake, hali ya sasa inapoenda kubadilika uraisi unaweza ukawa mchungu sana kwake.
Za chini chini ni kwamba pia Trump anaweza kupewa uspika, Sipati picha Bibi Pelosi atavyokuwa mwekundu usoni kuachia kiti chake cha uspika kumpa Trump 😂😂.
Wanachama wa chama alichomo Trump (Republicans) wana nia nzito sana ya kumu impeach Biden