Chama alichomo Trump kinaenda kuchukua House au senate ama vyote, Trump anaweza kupewa uspika wa Pelosi, Biden anaenda kuonja joto la impeachment

Ila ndio hivyo tena umaarufu wake umeshuka republican sasa hivi ni Ron disantis
umaarufu upi umeshuka ?? kwa taarifa yako tu ni kwamba hadi sasa asilimia 95 ya wagombea waliopigiwa debe na Trump wameshinda, Ni hao hao watapendekeza apewe kiti cha uspika kujiongezea umaarufu zaidi kwajili ya 2024..

huyo desantis ni michezo ya wapinzani tu ila yafaa aunge tela 2028
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…