CHAMA AMESHATUA SIMBA MDA HUU

🤣🤣
Ya kwamba soka la Tunisia limemshinda?!!

Haya watani aje awape ubingwa wa Afrika 🤣🤣🤣🤣
 
Sijui kwa nini..roho yangu bado haijalikubali hili,...nikikumbuka dhihaka alizoifanyia Simba baada ya kufanya vibaya mwanzoni!.... Anyway Cha msingi tuwe na kikosi imara chenye kuleta ushindi
 
Chama sio mzur kihivyo,hakuna kitakacho badilika.

Sasa simba itakuwa na wapoza mpira wawili chama na morrison tutegemee kudraw sana
 
Kwani manara si alituaminisha kuwa anaenda utopwinyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…