CHAMA AMESHATUA SIMBA MDA HUU

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwahiyo tunakubaliana kuwa CHAMA ni mchezaji ambaye kiwango chake ni kucheza KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA???
 
Utopolo ni wanafika alivyoondoka wanakili alkuwa bora sana wakisikia anarud wanasema wa kawaida
 
Hivi msemaji wa simba ni kamwaga? Unamaanisha ezekiel ama kamwaga yupi. Ninachojua kamwaga alishaacha usemaji kwa simba na ssc ina kaimu msemaji ambaye anafahamika kama CHIKO.
 
Nimepata bahati ya kuona clips za dk chache alizocheza akiwa na berkane, nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa chama ameshindwa kucheza Morocco kutokana na kiwango kibovu, ni mambo tu ya nje ya uwanja kwani sio mara ya kwanza aliwahi kusajiliwa Al ittihad ya misri na alivunja mkataba baada ya muda mchache hivyo hivyo. Kwamba ashindwe chama mwenye kila aina ya ufundi miguuni mwake aje kuweza mwana riadha tuisila kisinda. Viwango vyao hata hapa vilikuwa vinaonekana, chama ni bora kuliko kisinda hivyo ni upumbavu kusema kwamba chama hana kiwango cha kucheza Morocco.
 
Clip hizo umetoa wapi wakati alikuwa anakalia BENCH??
 
Labda chama wa buguruni na sio chama ninaemjua mimi, nenda kwenye website ya RS berkane utaona wameandika nini kuhusu chama na wanajiandaa na mechi inayofuata chama akipewa shavu la kuanza kwenye mechi iyo jumamosi, sasa izo habari zenu za kwamba chama yuko Tanzania inawezekana kuna chama wawili alafu mnapongezana ujinga tu milivyo na akili za kushikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…