auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
Haaa haaaKwakusema hivyo tu , tayari inaonyesha unavyomuogopa. Ungekaa kimya tusingejua kwamba unamuogopa
Si wanasema waliongea na wakala wake Chama? Yule Mhandisi Uchwara alithibitishha
Liverpool ina wachezaji wangapi kutoka Southampton hakuna shida? kuna sheria ina zuia?Ifike wakati yanga waache huu ushamba wa kuchukua wachezaji kibao waliochuja kutoka timu moja, hii inashusha hadhi ligi yetu, sababu ukiiangalia yanga unaweza kudhani unacheza na As vita.
.....baelezeee hao makolokolo fc..walikuwepo na huyo chama wao na tukawatoboa vile vileHatuwaogopi wapuuzi nyinyi!!! tuna kikosi kikali tukiongozwa na Fiston Mayare
Tina mkataba name tiyari🏃.GSM na Karia wanasemaje ?
Makamboo amecheza misimu 2 Chama hata miezi 6 imekua ngumuNdiyo , kama ilivyo kwa makambo mkuu.
Hivi dirisha la usajili bado halijafungwa?Msemaji wa simba sc, bwana kamwaga amepost picha hii ya kiti katika page yake ya fb na kuandika 90% soon kitu kinachomaanisha anakwenda kusimamisha mitandao leo lakini inasemekama tayari chama yupo mjini hapa na leo anatangazwa kuwa mchezaji halali wa simba sc jioni ya leo,
Karibu sana clatous chama simbaView attachment 2046006View attachment 2046007
Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Yaani unaweza cheka au clip za maozeziniClip hizo umetoa wapi wakati alikuwa anakalia BENCH??
Rage alimaliza kila kitu .Hatuwaogopi wapuuzi nyinyi!!! tuna kikosi kikali tukiongozwa na Fiston Mayare
Southampton inashiriki ligi ipi, na Liverpool ligi ipi ??..Liverpool ina wachezaji wangapi kutoka Southampton hakuna shida? kuna sheria ina zuia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatuwaogopi wapuuzi nyinyi!!! tuna kikosi kikali tukiongozwa na Fiston Mayare
Msemaji wa simba sc, bwana kamwaga amepost picha hii ya kiti katika page yake ya fb na kuandika 90% soon kitu kinachomaanisha anakwenda kusimamisha mitandao leo lakini inasemekama tayari chama yupo mjini hapa na leo anatangazwa kuwa mchezaji halali wa simba sc jioni ya leo,
Karibu sana clatous chama simbaView attachment 2046006View attachment 2046007
Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Hahahahahah wanasema. Simba Nguvu mojaGSM na Karia wanasemaje ?
Hivi kwanini yanga ni vilaza hivi ? Kwamba chama hajawahi kucheza kabisa tangu atue berkane ?? .. kocha wenu alikua sahihi sana kuwaita manyani na mbwa.Yaani unaweza cheka au clip za maozezini
Mtasajiri mpaka Mtakoma haisaidii kitu.Timu imeshachoka haina pumzi tenaMsemaji wa simba sc, bwana kamwaga amepost picha hii ya kiti katika page yake ya fb na kuandika 90% soon kitu kinachomaanisha anakwenda kusimamisha mitandao leo lakini inasemekama tayari chama yupo mjini hapa na leo anatangazwa kuwa mchezaji halali wa simba sc jioni ya leo,
Karibu sana clatous chama simbaView attachment 2046006View attachment 2046007
Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Kama chikwende tu huwa mnasajiri kwa mihemko mlishajaza nafasi 12 za kigeni baada ya kuona Yanga wanataka kusajiri kujaza zile nafasi mbili zilizobaki mnapagawa na kuona mliyoyasajiri karibu yote magalasa.Kazi mnayo msimu huuTunataka Chama awe nyuma ya Phiri Moses