ili ni garasa, kama kweli tumemsajili tumeingia mkenge
Sibishani na Kabwili, kwenda zakoWee takataka jitulize biashara ya wachezaji sio ya nyanya
Mpira biashara. Tungemuuza kwa hasira leo asingerudi.mlimuuza kwa hasira mmemrudisha kwa kumuomba na magoti juu aisee aliyewaita makolo mbumbumbu hakukosea
Tafuta mahali penye kivuli na hewa ya kutosha ukae mapigo ya moyo yataenda sawa.Mikia kweli akili ziko matakoni. Hivi kuna kazi mnafanya nyie vijana wa mikia?. Ni kama mnadanganywa hivi kwamba kuanzia asubuhi,usiku unalala unawaza simba tu. Hii ndio BREAKING NEWS utumbo huu?. Nimeona kichwa kikubwa BREKING NEWS. Moyo ukafanya paa na kufurahi kwa mbali kwamba labda nae mwingine amekufa tupumue kidogo. Nakutana na utumbo huu
Banda na Mugalu hawawezi kuachwaMiongoni mwa wachezaji wa Simba wanaowindwa na timu zingine ni Thadeo Lwanga,Rali Bwalya.
Tetesi za watakao achwa dirisha dogo iwe kwa mkopo au vinginevyo ni Mkuu wa majeshi Pascal Wawa,Mugalu,Duncan Nyoni,Piter Banda.
Timu kusajili ni kawaida hata iwe imara kiasi gani bado timu inaweza kusajili.
Vipi wewe umeshatafuta tayari penye kivuli? Maana ni dhahiri mapigo yako ndio yanayoenda kasiTafuta mahali penye kivuli na hewa ya kutosha ukae mapigo ya moyo yataenda sawa.
Kwani nyie Makombo mmempeleka au mmemrudisha?? Msivyo na kumbukumbu kama kuku wa mdondo!!mnatia huruma aisee...haya bora chama karudi masononeko yapungue maana timu imekuwa mbov mpk mnarudisha wachezaji
Tatizo ni kutojua maana ya kujibu hoja. Hoja hujibiwa kwa hoja.Labda chama wa buguruni na sio chama ninaemjua mimi, nenda kwenye website ya RS berkane utaona wameandika nini kuhusu chama na wanajiandaa na mechi inayofuata chama akipewa shavu la kuanza kwenye mechi iyo jumamosi, sasa izo habari zenu za kwamba chama yuko Tanzania inawezekana kuna chama wawili alafu mnapongezana ujinga tu milivyo na akili za kushikiwa
Wewe mmoja wao.Hivi inakuwaje kila habari inayoletwa humu hasa hili jukwaa la michezo huwa tunachangia tu bila kutafiti kujua ukweli wake? Hii inamaanisha jukwaa hili linaongoza kwa kujaza watu vilaza?
Amecheza au amekaa misimu miwili akibeba stocking za wenzake?Makamboo amecheza misimu 2 Chama hata miezi 6 imekua ngumu
Rage kuwaita mbumbumbu hakukoseaWewe mmoja wao.
Kakojoe ulale kumekuchwa mkuu. Huko mnakowazungumzia akina Makusu mbona mnasema kikosi kizuri?Tumekubaliana kwa hii SIMBA NI NZURI SANA, kwanini tusajili tena dirisha dogo tena namba ambazo kuna watu makini kama KANOUTE??
Halafu mnamtaka na ninyi pia!! Kweli Eymel hakukosea!!!Hao mpira wao mdogo sana saizi yao ni Simba tu.
Hakuna aliyemwuza kwa hasira bali alilazimisha mwenyewe bado huduma yake ikitakuwa Msimbazi. Wangefanya nini?mlimuuza kwa hasira mmemrudisha kwa kumuomba na magoti juu aisee aliyewaita makolo mbumbumbu hakukosea
Kwenye ukoo wenu yupo angalau anayemkaribia kwa kiwango chake cha garasa? Acha maneno machafu.ili ni garasa, kama kweli tumemsajili tumeingia mkenge
Na nyie mlivyoitwa Nyani,Mbwa na majina mengine hawakukosea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rage kuwaita mbumbumbu hakukosea