Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Kwa mujibu wa Farhan Kihamu wa clouds, kiungo nyota wa Zambia na klabu ya Rs Berkane Chama amekamikidha kuvunja mkataba wake na sasa ananukia kurudi Simba.
Ndio tuseme Chama amefeli huko Berkane lakini akija bongo ni staa.
Ndio tuseme Chama amefeli huko Berkane lakini akija bongo ni staa.