Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Salah alippfeli ChelseaSwala la kwamba alifanya vizuri alipokuwa akicheza na Al Ahli, Vita nk sio kielelezo kwamba alikuwa mzuri kihivyo.
Leo hii hata Bayern wacheze na Coastal Union au Kagera bado tu kuna wachezaji wa hizo timu wataonekana ni nyota lakini sasa wapereke Ujerumani kama watanyanyua hata mguu uwanjani.
Tunamuona ni mzuri kwa sababu ligi yetu ndio kiwango chake kilivyo lakini akienda kwa wajuaji kutuzidi hana lolote, anabaki kuchoma [emoji535] tu.
KDB pia
Lukaku alivyofeli UTD.
Hujifunzi kitu? Au umeamua tu?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app