OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Unatafuta furaha ya muda mfupi tu we Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC. Huyo ni mchezaji wa kushine dhidi ya timu ndogo, akikutana na wababe huwa mavi matupu.View attachment 2422810
Kila Chama akifanya vitu vyake nchi nzima inatabasamu kwa tumbuizo, lakini kikundi kidogo cha 'haters' wanaumia.
Wewe unayeumia unampunguzia nini Chama? Tazama umeumia miaka yote hii ndiyo kwaanza Chama anazidi kutoa burudani!
Senior hater upo ndani ya nyumbaUnatafuta furaha ya muda mfupi tu we Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC. Huyo ni mchezaji wa kushine dhidi ya timu ndogo, akikutana na wababe huwa mavi matupu.
Lugha chafu kama vile ulishikiwa bunduki kujiunga na jamiiforum.Unatafuta furaha ya muda mfupi tu we Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC. Huyo ni mchezaji wa kushine dhidi ya timu ndogo, akikutana na wababe huwa mavi matupu.
Lugha chafu ipi hapo au umeshalewa?Lugha chafu kama vile ulishikiwa bunduki kujiunga na jamiiforum.