Chama arudi bongo, kamuacha Kisinda anakichafua Morocco

Chama arudi bongo, kamuacha Kisinda anakichafua Morocco

Wazee wakuvizia wachezaji walio kwisha maliza mikataba yao free agent.
 
Kumbe ndiyo maana Joash Onyango anataka kuondoka simba!! Bila shaka alishasikia tetesi za ujio wa hiki kiberenge!

Shughuli itabakia kwa Tshabalala! Imagine Tuisila+Azizi Kii!!! Kazi anayo.
SOKA huwa linapanda na kushuka Tuisila wa jana siyo Tuisila wa leo.
JARIBU kufikiri juu ya HERITIER MAKAMBO akiwa Yanga na baada ya kurudi kutoka Horoya,( ni watu wawili tofauti).
 
Chama karudi na nini au ndo mnataka kubalance shobo lakini zinakataa[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom