Kati ya Kisinda na Chama ni nani kainua kwapa na Berkane Afrika?.Vp hii kauli bado ipo??
Nyie mashabiki mandazi tambueni mpira ni Zaid ya kutumia simu ya tecno
Issue sio kurudi umerudi na nini?Vp hii kauli bado ipo??
Nyie mashabiki mandazi tambueni mpira ni Zaid ya kutumia simu ya tecno
SOKA huwa linapanda na kushuka Tuisila wa jana siyo Tuisila wa leo.Kumbe ndiyo maana Joash Onyango anataka kuondoka simba!! Bila shaka alishasikia tetesi za ujio wa hiki kiberenge!
Shughuli itabakia kwa Tshabalala! Imagine Tuisila+Azizi Kii!!! Kazi anayo.
Dejan mmesajiri toka wapi?Wazee wakuvizia wachezaji walio kwisha maliza mikataba yao free agent.
Therbia FcDejan mmesajiri toka wapi?
HahahahahaVipi hii kauli bado ipo??
Nyie mashabiki maandazi tambueni mpira ni zaidi ya kutumia simu ya tecno.
Ndo maana manara alisema tumtoe baba yake na kikwete sasa mi nimezungumzia wachezaji ww unaleta story za kocha.Dejan mmesajiri toka wapi?
Kumbe Dejan ni kocha [emoji23][emoji23] maana halisi ya Mbumbumbu ! salamalekoNdo maana manara alisema tumtoe baba yake na kikwete sasa mi nimezungumzia wachezaji ww unaleta story za kocha.
Watoto wa mwisho mnasumbua SanaVipi hii kauli bado ipo??
Nyie mashabiki maandazi tambueni mpira ni zaidi ya kutumia simu ya tecno.