Elections 2010 Chama cha CUF kinapendelewa katika kutangaza matokeo uchaguzi wa Igunga

Elections 2010 Chama cha CUF kinapendelewa katika kutangaza matokeo uchaguzi wa Igunga

President Elect

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
693
Reaction score
212
Kadri matokeo ya upigaji kura yanavyozidi kutolewa na vyombo vyetu vya habari, chama cha CUF kinatajwa katika kila matokeo hata kama kimepata sufuri au ziro. Huu ni upendeleo, mbona vyama vingine kama CHAUSTA, DP, UPDP ambavyo havikuambulia kitu havitajwi!

CCM kaeni mkao wa kula bata Igunga, japo ndugu zetu CDM wametuandalia karamu ya ushindi.
 
Back
Top Bottom