Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu ni yule aliyekuwa mchezaji wa InterMilan ya Italia na Timu ya Taifa ya Kenya , Harambee Stars.
Taarifa zinaonyesha kwamba amewapiku wagombea wengine 16 na amehojiwa na maofisa wa chama kwa zaidi ya masaa matatu kabla ya kupitishwa rasmi .
Jimbo la kibera linajaza nafasi ya mbunge aliyefariki hivi karibuni