Chama cha Jubilee champitisha MacDonald Mariga kugombea ubunge jimbo la Kibera

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426


Huyu ni yule aliyekuwa mchezaji wa InterMilan ya Italia na Timu ya Taifa ya Kenya , Harambee Stars.

Taarifa zinaonyesha kwamba amewapiku wagombea wengine 16 na amehojiwa na maofisa wa chama kwa zaidi ya masaa matatu kabla ya kupitishwa rasmi .

Jimbo la kibera linajaza nafasi ya mbunge aliyefariki hivi karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…