Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Katika urejeshaji huo simuoni mgombea mwenza akiambatana na mgombea urais.
Nilitarajia kuona mgombea wa kiti cha urais kutoka chama CCK akiambatana na mgombea mwenza. Je inawezekana asiteuliwe?
UPDATE
Rasmi CCK imeshindwa kutimiza vigezo vya kisheria kuteuliwa kugombea nafasi ya urais.
1. Picha za mgombea urais ndg Daudi Mwaijejele zimewasilishwa
2. Picha za mgombea mwenza ndg Ally Saidi Juma kukosekana
3. Mgombea Mwenza kutofika mbele ya Tume.
4. Kutowasilisha stakabadhi ya Tshs Milion 1 .
TAMKO LA TUME
Chama cha CCK imekosa sifa ya kuteuliwa hi yo mgombea nafasi ya Urais ndugu Daudi Mwaijejele na mgombea mwenza ndugu Ally Saidi Juma hawajapitishwa na Tume ya Uchaguzi kugombea nafasi walizoomba