Uchaguzi 2020 Chama Cha Kijamii(CCK) kimeshindwa kutimiza vigezo vya kisheria kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais

Hapa watu wanaandaliwa kisaikolojia usikute hata hicho chama kilichukua fomu kwa mpango huo
 
Sio hivyo,
kiongozi wake anafahamika vizuri tu...ni Afisa kipenyo kabisa!!

Hawa jamaa wanatumika vibaya sana, sana! Hii kazi wanayofanya sio wanayotumwa taifa!

Wamekuwa mawakala wa viongozi waovu wa CCM
 
Wanaweza kutowapitisha wagombea wote wa Urais LAKINI kama watakuwa wamempitisha Tundu Lisu na Magufuli, hakuna shida.

Lakini hata wawapitishe wagombea wote wa Urais halafu wakaacha kupiwatisha Tundu Lisu na Magufuli, Tume yote itaonekana inaongozwa na watu wenye uwendawazimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani amechukua fomu afu hajalipia million moja?? Na amerudisha fomu bila mgombea mwenza? Ccm na Nec mnafanya Mambo ya KIJIMA kabisa.
Kukosea kwa mgombea mmoja hakuhalalishi kukosea kwa mgombea mwingine!! Hovyoo movie director wake atakuwaa Msiba😂
 
Hivi hiki si kile cha kina Nape, Sitta na mzee wa degree nne??
 
Tunamtaka Lissu.Lissu ni mtanzania mwenzetu na tunataka tumpigie kura.


Mie na familia yangu kura ni kwa Lissu.Watumishi wote kura ni kwa lissu
 
Mgombea urais kupitia CCK amekatwa baada ya kushindwa kukidhi vigezo.

Mh David Majojele amefika ofisi za NEC akiwa bila mgombea mwenza wake na hiyo ni kinyume cha kanuni

Source East Africa radio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…