MHASIBU HALISI
Member
- Aug 10, 2011
- 35
- 13
Tanzania Association of Accountants ni cha kazi gani? Na hiyo NBAA kazi yake ni nini? Hivyo si ndio vyama vya wahasibu hapa Tanzania au mimi sielewi?
Mkuu tatizo wahasibu wengi wevi ndio maana wanaridhika na mishahara unayosema midogo. Wanajua jinsi ya kuziba mashimo!
Fanya tafiti kwanza kabra ya kuropoka ndg. labda mhasibu wa ofisi yako ndo mnalipa pesa ndogo. Na pia tofautisha kati ya Makarani wa Uhasibu na Whasibu waliothibitishwa na bodi ya Uhasibu.
Fanya utafiti kwanza Humu pia kuna wahasibu.
Sasa wewe ndo mhasibu halisi si utakuwa na majibu?
we unalipwa sh ngapi?
Ukijua utapata frustration bure kiongozi wangu, Ni bora usijue na baada ya miaka miwili sitaki tena ajira ntajiajiri