Chama cha Madaktari Tanzania jitafakarini

Chama cha Madaktari Tanzania jitafakarini

Isagenhe

New Member
Joined
Aug 4, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Leo tarehe 17/11/2021, ni siku ambayo intern doctors wanamaliza mafunzo yao karibia kila hospitali inayopokea interns, MCTt kwa kuwa mliamua kuwaminya vijana wengi wasiende intern kwa kuanza kuingiza siasa kwenye taaluma, hivi karibuni tutegemee malalamiko mengi kutoka kwa wagonjwa ambao watakosa huduma kwa wakati kwasababu yenu ninyi MCT, ikumbukwe kuwa intern doctors ndio wanaofanya kazi nyingi zaidi hospitalini, achaneni na siasa kwenye masuala ya taaluma.
 
Back
Top Bottom