Daraja Makofia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 695
- 905
Teh teh tehMUNGU awabariki lakini sidhani kama jiwe la Uganda litaridhia maana linataka afe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu akajichanganya akasema..keshapatiwa matibabu na yuko fiti. Upande mwingine anasema mzima wa afya na hajadhuriwa...Meanwhile, Dikteta Babu museveni anadai bobi wine yuu mzima wa afya kabisa.
Daahh! "
Sent using Jamii Forums mobile app