Na mgegedo mngeutolea tamko basiChama cha magirlfriend Tanzania (CHAMATA),,Kimetoa tamko lifuatalo....sisi magirlfriend Tanzania ,valentine hii hatutaki maua,wala Iphone,wala lunch .Tunasisitiza maboyfriend wetu wetu siku ya tarehe 14 februari waje wajitambulishe kwa wazazi wetu na kutoa tarehe ya harusi..kauli mbiu mwaka huu ni harusi kwanza,,zawadi siku ya send off (mjumbe nimefikisha salamu)
Kwenye maisha kila kitu unakwenda nacho ina parallelFata hayo kwanza
Nitawatambulisha wangapi sasa???? Kubalini tuuu hizo lunch na maua nitayowapatiaChama cha magirlfriend Tanzania (CHAMATA),,Kimetoa tamko lifuatalo....sisi magirlfriend Tanzania ,valentine hii hatutaki maua,wala Iphone,wala lunch .Tunasisitiza maboyfriend wetu wetu siku ya tarehe 14 februari waje wajitambulishe kwa wazazi wetu na kutoa tarehe ya harusi..kauli mbiu mwaka huu ni harusi kwanza,,zawadi siku ya send off (mjumbe nimefikisha salamu)