Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Hivi vyama vingine ndio navisikia leo. CCM E imewahi kujitokeza isije kukosa mgao wao!
Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
Chama cha MAKINI ambacho ni chama cha upinzani nchini Tanzania kilichokuwa kinashiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Nov 27, 2024 kupitia Mwenyekiti wake chama hicho kimeipongeza Wizara ya TAMISEMI na Waziri Mchengerwa kwa kusimamia vizuri uchaguzi huo wa serikali za mitaa ambao kwa mujibu wa chama hicho ulikuwa huru na haki.
PIA SOMA
- LGE2024 - Dar es Salaam: Vyama 14 vya Siasa vyadai kuridhishwa na matokeo ya Uchaguzi