Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA SONGWE - MIUNDOMBINU YA ELIMU
Matukio mbalimbali katika picha Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe Juliana Daniel Shonza akiambatana na viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) alipofanya ziara katika Kata ya Ichenjezya. Kata ilikuwa haina Shule.
Mbunge Juliana Daniel Shonza na Wanawake wa UWT waiitembelea Shule hiyo ya Sekondari. Juliana Daniel Shonza alichangia ujenzi wa Shule hiyo kiasi cha Shilingi za Kitanzania Laki Nne baada ya mafundi wa shule hiyo kuelezea changamoto ya maji ya kujengea.
Pamoja na kuchangia ujenzi wa Shule, Mbunge Shonza alizindua zoezi la kupanda miti katika Sekondari ya Ichenjenzya.
#CCMImetimia
#KaziIendelee