Chama Cha Mapinduzi kimetupindua kweli!

Chama Cha Mapinduzi kimetupindua kweli!

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,204
Reaction score
627
Mwanzoni mwa miaka ya 1960 Tanzania ilikua na GDP per capita ya USD (around) 450 na south korea ilikua 149
.
Mwaka 2000 (miaka 40 badae sisi tukia nchi huru tunajitawala wenyewe, ooh sorry tukiwa tunatawaliwa na CCM) tanzania ina GDP per capita ya USD 250 wakati south korea wakiwa na GDP per capita of slightly above 10,000. . . . . . .TAFAKARI!

na south korea
 
Hivi Kumbe!
Sio mbaya imepungua sh 200 tu. si shu ni ela ndogo hata daladala hupandi.
 
Back
Top Bottom