MISUKULEStory kuhusu ziara za mheshimiwa mwenezi imekuwa bidhaa inayofatiliwa sana kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii.
Ushauri wangu
Chama cha mapinduzi kisitoe haki kwa vyombo vingine vya habari hasa online tv kurusha exclusive news kuhusiana na ziara za mwenezi,badala yake hizi online TV zipewe muktasari ya yaliojiri kwenye mikutano na habari kamili zipatikane kwenye app ya chama cha mapinduzi!!
Habari zone exclusive kuhusiana na ziara zianze kupatikana kwanza kwenye app ya CCM kabla ya kwenda kwenye platforms nyingine
Faida
Engagement ya watu kwenye app ya CCM itaongezeka!!
Leo pale Kasulu Kigoma mwenyewe kaona panapovuja baada ya mabango elfu kushushwa pale.Story kuhusu ziara za mheshimiwa mwenezi imekuwa bidhaa inayofatiliwa sana kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii.
Ushauri wangu
Chama cha mapinduzi kisitoe haki kwa vyombo vingine vya habari hasa online tv kurusha exclusive news kuhusiana na ziara za mwenezi,badala yake hizi online TV zipewe muktasari ya yaliojiri kwenye mikutano na habari kamili zipatikane kwenye app ya chama cha mapinduzi!!
Habari zone exclusive kuhusiana na ziara zianze kupatikana kwanza kwenye app ya CCM kabla ya kwenda kwenye platforms nyingine
Faida
Engagement ya watu kwenye app ya CCM itaongezeka!!
Hiyo engagement ikiongezeka inatatua kero ya umeme na maji kwa wananchi? Mawazo mfu yasiyo na tija
UbarikiweMISUKULE