Chama cha Mapinduzi ni kizuri kama nini! Tuone nini ni nini?

Chama cha Mapinduzi ni kizuri kama nini! Tuone nini ni nini?

Joined
Nov 6, 2016
Posts
77
Reaction score
271
Na Comrade Ally Maftah

Kuna ule usemi kitu kikiwa kitamu unasema "KITAMU KAMA NIININI" nataka tujue niinih ni nini?

NIININIH NI!

1. UTARATIBU WA VIKAO VYA KIKANUNI NA KIKATIBA
Chama cha Mapinduzi kina utaratibu wa vikao mbalimbali, mambo yake yanajadiliwa kistaarabu na kwa usiri.

2. MATUMIZI YA KANUNI, MIONGOZO NA KATIBA
Hiki chama kimejiunda vizuri sana kisheria kiasi kwamba ukionewa ni wewe tu umeamua, kuna mtu mmoja mwenye chuki alitaka kunianzishia vurumai fulani, nikamwambia unachosema kimeandikwa kwenye katiba akabaki anahaha, katiba inalinda haki za makundi yote

3. DEMOKRASIA YA KUBADILISHANA NAFASI KWA UCHAGUZI
Chama hiki ndio chama pekee ambacho uongozi unakuwa na ukoma na kinazo chaguzi, vyama vya wenzetu mtu anakuwa mwenyekiti akiwa kijana mpaka meno yote yanaisha mdomoni bado ni mwenyekiti mpaka mvuto unapotea, anakomaa kwenye kiti kama chama ni chake sijui kama huwa wanafanyaga uchaguzi

ITAENDELEA

Ndimi Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA

 
Back
Top Bottom