Chama cha Mashinani(CCM) cha Kenya kina uhusiano na CCM ya Tanzania?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Nimeona pia wenzetu Kenya wana chama cha upinzani Kinaitwa Chama cha Mashinani(CCM).
Hebu mtueleze kimeanzishwa lini na Kina undugu je na ile CCM haswaa?
 
Nimeona pia wenzetu Kenya wana chama cha upinzani Kinaitwa Chama cha Mashinani(CCM).
Hebu mtueleze kimeanzishwa lini na Kina undugu je na ile CCM haswaa?

Hicho kimeanzishwa hivi majuzi, muasisi wake ni gavana wa Bomet na wala hakina undugu na chama chenu hicho ambacho kimewatala tangu kubuniwa kwa muungano wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…